• 85
  • 2
  • 0
  • 5
  • 0
02:45

Sweet music


Siri ya Msalaba inaonyesha mikono wazi ya Kristo Yesu. Yesu alifanya yale aliyohubiri: "Hii ndio amri yangu: pendaneni kama mimi nilivyowapenda. Hakuna mtu aliye na upendo mkubwa kuliko huu, kuweka maisha yake kwa ajili ya marafiki zake" (Yohana 15: 12-13). Tunatafsiri mikono yake wazi ya sala kufunua utii wake na utukufu wa Baba yake na wakati huo huo kufunua upendo wake kwa wanadamu wote.

1.Hebu tafakari kisa cha Bwana Yesu, asiyemkosa wakamwangika juu,
Haijakuwepo giza kwenye historia ya mwanadamu, Yesu 'kalia mtini.

Angewaita malaika maelfu, kumzingira tena kwa utukufu,
Lakini kwa upendo, upendo agape, akafa kifo cha aibu mti,
wanadamu tuna lipi kumlipa, ila kumpa maisha atawale,
kufanya kazi, kazi shambani mwake ndilo jukumu al'otupa
wapendwa.

2.Dhihaka na chuki, ye alistahimili, kwa upendo mwingi kafa msalabani
Mungu Muumbaji tena Mfalme wa vyote, kafa kama mtumwa pendo
ajabu.

最近收听的

1 注释

:: / ::
::
/ ::

队列