Great song there. Indeed the bridegroom is on the way. God bless you👌
1. Aliwasili usiku bwana harusi kawapata wale wanawali wamelala kelele shangwe kumkaribisha wale wapumbavu wakagundua hawana mafuta
Tujihadhari tusije tukawa wapumbavu subira yetu isije kuwa bure mwanga ushikilie angaza nuru kwa walimwengu ndilo jukumu letu tunapomsubiri
2. Tupeni mafuta enyi wenzetu tumekesha nanyi usiku tukimgoja Bwana, nenedeni mkatafute kule madukani waliporejea mlango umeshafungwa
Great song there. Indeed the bridegroom is on the way. God bless you👌