1.Kamwe sitaacha kutangaza neno, ningali hai nitamsifu Bwana, kwani siku moja nitakaa ukimya nafasi yangu itatoweka
Itapo kamilika kazi yangu nitapumzishwa na yote ya dunia, nitapewa mwili usoharibika ewe Bwana unikumbuke
2. Nitakuwa kama zile mbegu ndogo kwenye udongo mzuri zikazaa, kwa nguvu za Bwana nitakamilisha huduma aloweka juu yangu